Habari

Video: Rais wa Colombia ajikoj*lea jukwaani wakati akihutubia, akanusha kuwa na tatizo la kiafya

Rais wa Colombia, Juan Manuel Santos amezindua kampeni ya uchaguzi wa Urais kwenye jiji la Barranquilla, lakini wakati akihutubia, janga likamtokea.

https://www.youtube.com/watch?v=Qfrwd3HDNcY#t=23

Rais huyo alikuwa akihutubia kwa mzuka kabla ya kujikojolea hadharani na kila mtu akiona japo hakusitisha hotuba hiyo. Video yake imekuwa maarufu tayari mtandaoni. Hata hivyo Rais huyo amekanusha kuwa na matatizo ya kiafya. Ametumia mtandao wa Twitter kuwashakuru wananchi wa Colombia kwa kumuelewa licha ya aibu hiyo.

Rais huyo mwenye miaka 62 aliwahi kufanyiwa upasuaji kutokana na saratani korodani (prostate cancer).

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents