Burudani

Video: Ray C akiimba wimbo wa Recho ‘Upepo’

Rehema Chalamila ni shabiki mkubwa wa Recho. Mara nyingi amesikika akisema anampenda sana msanii huyo wa THT ambaye sauti yake imekuwa ikifananishwa na ya kwake (Ray C).

Leo kupitia Instagram, Ray C ambaye wiki hii anatarajiwa kurudi rasmi kwenye shughuli za kawaida kwa uwazi, amepost video inayosikika akiuimba wimbo wa Recho, Upepe. Kwenye video hiyo Ray C ameandika: Love Ur Voice My Lil sis” na Recho kujibu, ‘Tanx alot my dadaz.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents