Habari

Video: Shabiki wa Yanga Athuman Kombo akilia kwa uchungu baada ya Simba kusawazisha mabao 3

Uchungu wa Yanga aujuaye ni shabiki damu damu kama Athuman Kombo. Mtazame hapa akilia kwa uchungu kutokana na kuangushwa na timu yake ya Yanga iliyofanya uzembe na kuiruhusu Simba isawazishe mabao yote matatu kwenye kipindi cha pili.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents