BurudaniDiamond PlatnumzVideos

Video: Tazama Documentary ya Diamond na Papa Wemba

Sote tunafamu msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz mwaka jana alitoa wimbo na gwiji wa muziki wa Lingala na Soukous, Papa Wemba. Wimbo huo uliofahamika kama Chacun Pour Sol, video yake ilishindikani kutoka kufuatia kifo cha Papa Wemba.

Sasa Diamond Platnumz ametushirikisha hii Documentary fupi ambayo inaonyesha walivyokuwa studio wakirekodi na alichozungumza Papa Wemba. Itazame hapa chini.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents