Burudani

Video: Tekno ndiye aliye-play part kubwa kuuandaa wimbo ‘Sikila’ – Madee

Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection, Madee Ali amefunguka kwa kusema kuwa wimbo ‘Sikila’ umeandaliwa na muimbaji Tekno kutoka Nigeria kwa 90%. Madee ameiambia Bongo5 kuwa baada ya Tekno kupewa idea na Babu Tale ya nini anatakiwa kufanya na Madee, aliomba aandae biti ya wimbo huo pamoja na mambo mengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents