Habari
Video: The Session with producer Mswaki (Black Curtains Recs)
The Session ni episode za online zinazotayarishwa na Creative Mindz na host akiwa Kennedy The Remedy. Ni show ambayo hutembelea maproducer mbalimbali wa Tanzania kwenye studio zao.