Burudani

Video: Trela ya muvi aliyoigiza Oprah Winfrey

Sio tu kwenye utangazaji, tutegemeekumuona mwana mama Oprah Winfrey ifikapo Machi 9, 2018,katika filamu ya ‘A Wrinkle in Time’.

Filamu hiyo imewakutanisha watu kama Reese Witherspoon, Mindy Kaling, Gugu Mbatha-Raw, Michael Peňa, Levi Miller, Deric McCabe, André Holland, Rowan Blanchard ,Zach Galifianakis na Chris Pine. Imeongozwa na Ava DuVernay na kutaarishwa na Jim Whitaker ,Catherine Hand pamoja na Doug Merrifield.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents