Burudani

Video: Tumekuja kuukomboa muziki wa dansi – Papii Kocha

Papii Kocha amesema kuwa baada ya kuachiwa na Rais Magufuli, walifurahi sana ambapo furaha hiyo ilipelekea wao kulia. Hata hivyo Papii baada ya kusema hayo alieleza ujio wake kwenye game ya muziki kuwa watu wakae mkao wa kula na wamekuja kuukomboa muziki wa dansi;Tazama video hii Papii akieleza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents