Habari
Video: Ufisadi una hama CCM unaenda upinzani
Aliyekuwa Mwenyekiti wa kampeni na uchaguzi, ACT- Wazalendo, Ndg Samson Mwigamba amesema kuwa kwa sasa ufisadi unahama CCM kwenda upinzani na upinzani waliokuwa wanaupinga wanahamia ulikotoka. Tazama video hii Mwigamba akieleza: