DStv Inogilee!

Video: Wema bado tunaendelea kumfuatilia na kila siku anatuma ripoti kwetu- Bodi ya Filamu

Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo amefunguka kwa kusema kwamba bado wanamfutilia kwa ukaribu malkia wa filamu, Wema Sepetu licha ya kuendelea kutumikia adhabu ya kufungiwa kwa muda usiojilikana na bodi hiyo. Mama Fisoo amesema wamekuwa wakikutana mara kwa mara na maklia hiyo wa filamu ili kujua anaendeleaje kitabia.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW