Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Video: Zijue nchi za Afrika alizotua Damian Marley mwaka huu

Msanii wa muziki wa reggae kutoka Jamaica, Damian Marley ameeleza kuwa alifika Afrika mwishoni mwa mwezi Mei mwaka huu na alitembelea nchi kama Afrika Kusini, Kenya, Ethiophia na Mauritius.

Akiongea na kituo cha radio cha Hot 97 kilichopo nchini Marekani, Marley amebainisha nia yake ya kutaka kufanya ziara ya kimuziki katika Bara hilo la Afrika.

Mkali huyo wa regge pia ameweka bayana kuwa alikutana na msanii kutoka Nigeria, Wizkid ni jirani yake na sehemu aliyofikia sasa jijini New York.

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW