Habari

Wafanyabiashara nchini wamuangukia Rais Magufuli (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara leo ameongoza Mkutano wa 11 wa baraza hilo. Ambao kauli mbiu ni “Tanzania ya viwanda – ushiriki wa sekta binafsi”, ambapo Rais amesikiliza kero za wafanyabiashara wakubwa nchini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents