Habari
Wanaotaka mitaji, mikopo waseme fedha zipo – DC Hapi (+video)
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi amewataka wajasiliamali wote wa wilaya ya Kinondoni wanaohitaji mitaji, mikopo waseme fedha zipo.
DC Hapi ameyasema hayo leo katika Mkutano wa Wajasiliamali wote wa wilaya ya Kinondoni uliofanyika katika Ukumbi wa King Solomoni jijini Dar es salaam.