Burudani

Wasanii wamtembelea Naibu Waziri Shonza baada ya kujifungua (Video)

Wasanii wa kike wa filamu nchini Tanzania wamemtembelea nyumbani kwake Naibu Waziri wa Habari, Juliana Shonza ambaye amejifungua mtoto wa kike wiki chache zilizopita. Wasani hao ni Sengo Matilda, Mayamrisho, Joharichagulatz, Esha.s.Buheti pamoja na Mamaloraa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents