Burudani

Watoto wa Eddy Kenzo wakava jarida la Vibe wakiwa na French Montana

By  | 

Kundi la vijana kutoka Uganda ‘ Triplets Ghetto Kids ‘ walionekana kwa mara ya kwanza katika wimbo wa Eddy Kenzo
‘StyleZo (Kadondo)’ wanatarajiwa kuonekana katika jarida la Vibe.

Kundi hilo linalounda na Patricia, Ashley, Ada, Kokode, Fred, Isaac, Kokode, Ronnie na Man King wataonekana kupitia jarida hilo linalotoka mwezi huu, wakiwa na rapper French Montana aliwatumia katika video yake ya ‘Unforgettable’.

Kupitia jarida hilo kijana Ada mwenye miaka 16 ataweza kuelezea shauku yake ya kutamani kuwa mbunifu wa mavazi.

Na Laila Sued

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments