Aisee DSTV!

Watu 3000 wakamatwa na heroin kilo 30 kipindi cha miezi 6 (Audio)

Mamlaka ya kupambana na Dawa za Kulevya nchini Tanzania imeukamata mtandao wa wakuuza dawa za kulevya ukiwa na kilo nane za Heroin pamoja na mtandao wake wote. Akiongea na waandishi wa habariJumatatu hii jijini Dar es Salaam, Kamishna wa kupambana na Dawa za Kulevya, Salimu Kabeleke amedai kwa kipindi cha miezi 6 wamewakamata watu zaidi ya 3000 pamoja na kilo 30 za dawa za kulevya aina ya heroin.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW