Habari

Watu waliofariki kwenye ajali ya MV Nyerere wafikia 131, Waziri Mkuu akatisha ziara

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekatisha ziara yake ya siku saba mkoani Dodoma na kuelekea Ukerewe Mwanza kuwafariji wananchi waliopatwa na maafa kutokana na ajali ya kivuko cha MV Nyerere.

Kwa mujibu wa mujibu wa Waziri wa Uchukuzi Mhandisi Isack Kamwelwe amedai idadi rasmi ya vifo mpaka jioni hii kutokana na ajali ya MV Nyerere ni watu 131.

Barua kutoka ofisi ya Waziri Mkuu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents