Burudani

Wazazi wa Nandy: Zile picha chafu za Nandy zilitufanya tumwambie acha muziki (Video)

Wazazi wa mwanamuziki, Nandy walipata fursa ya kuzungumza na Bongo5 kuhusiana na maisha ya muziki wa mtoto wao. Baba mzazi wa muimbaji huyo amedai ilifika hatua waliamua kumkataza mtoto wao asifanye muziki tena kutokana na video chafu ya binti huyo ambayo ilisambaa mitandaoni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents