Habari

Waziri Mkuu aiomba familia ya Mbunge Maji Marefu kuwa wavumilivu (+video)

Waziri Mkuu Kasim Majaliwa ameongoza mamia ya waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa Korogwe vijijini Steven Ngonyani aliyefariki dunia Julai 2, 2018 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Hata hivyo Waziri Majaliwa ameiomba familia hiyo kuwa watulivu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents