Burudani

Wizkid adondosha mzigo Ijumaa hii

Rapper kutoka Sony Records/RCA, Wizkid ameachia rasmi mixtape yake mpya “Sounds From The Other Side” Ijumaa ya leo.

Katika mixtape hiyo yenye ngoma 12 na wimbo mmoja wa bonus, amewakutanisha mastaa kadhaa wa Marekani akiwemo Drake, Trey Songz, Chris Brown, TY Dolla $ign, Major Lazer na Bucie.

Mpaka sasa Wiz ameachia ngoma tano ambazo zipo katika mixtape hiyo ikiwemo ‘Daddy Yo’, ‘Come Closer’ aliyomshirirkisha Drake, ‘Sweet Love’, ‘African Bad Gyal’ aliyomshirikisha Chris Brown na ‘Naughty Ride’ aliyowashirikisha Major Lazer.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents