Aisee DSTV!

Wolper, JB, Shilole, Esma Platnumz na mastaa wengine walamba dili nono! (Video)

Wasanii wa filamu na muziki pamoja waandaji wa vipindi mbalimbali vya runinga wataanza kuuza kazi zao kupitia kampuni ya mtandaoni ya SwahiliFlix ambayo itanunua kazi zao na wao kuziua kupitia mitandao kama Netflix ambayo kwa sasa wamejizolea umaarufu mkubwa duniani.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW