Burudani

Young Killer kuachia ngoma mpya ‘My Power’ wiki ijayo

Rapper wa Mwanza. Young Killer amesema wiki wiki ijayo anatarajia kuachia wimbo wake mpya wa, My Power.

young-killer-mrs-superstar

Amesema tangu atoe video ya Mrs Supastaa, amepokea maoni mengi yaliyomtia moyo.

“Unajua kila kitu cha mafanikio kwenye maisha yako ni hatua muhimu sana,maoni mazuri ya watu mbalimbali na wadau wa muziki yamenipa matumaini ya kile ninachokifanya katika maisha ya muziki wangu,” ameiambia Bongo5. Kwahiyo bila kuwacheleweshea wiki ijayo naachia wimbo wangu mpya ‘My Power’, kwenye video watu waendelee kuangalia Mr Super Star na kwenye redio wapate wimbo mpya My Power.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents