Habari

Zifahamu ajali kubwa 5 zilizowahi kutokea Tanzania na kuuwa watu wengi zaidi (Audio)

Zifahamu ajali kubwa 5 zilizowahi kutokea Tanzania na kuuwa watu wengi zaidi (Audio)

Katika nchini yetu ya Tanzania zilishawahi kutokea ajali nyingi sana za kila aina na ajali hizo zingine zimetokea kwa uwezo wa mwenyezimungu lakini zingine zimetokea kwa kusababishwa na uzembe wa watu fulani.

Lakini pia ajali hizo nyingi zikiwa zimesababishwa na vyombo vya usafi hasa usafiri wa maji,nchi kavu na angani,Zifuatazo ni ajali kubwa tano zilizowahi kutokea katika nchi yetu ya Tanzania na kusababisha vifo vya watu wengi zaidi.

https://www.youtube.com/watch?v=5Nz7BkRUHHQ

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents