Habari

ZIFF yatangaza tarehe ya mwisho ya kuwasilisha filamu

Waandaaji wa Tamasha la Kimataifa la Filamu la Zanzibar, ZIFF, wametangaza tarehe ya mwisho ya kuwasilisha filamu kwaajili ya kushindanishwa. Tarehe ya mwisho ya kuwasilisha filamu ni March 31, 2013.

Screen

Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika June 29-July 7, 2013.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents