Mahojiano

Zuchu: Watu wananisingizia eti mimi niko kwenye mahusiano na Boss wangu Diamond? Mungu ndio anajua (+Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka lebo ya WCB iliyopo chini ya @diamondplatnumz @officialzuchu ameweka wazi kuhusu taarifa zinaenezwa kuwa yupo kwenye mahusiano na Boss wake @diamondplatnumz . Mbali na hilo @officialzuchu pia amezungumzia sakata lake na @tanashadonna la kudaiwa kuiba wimbo na ku copy kila kitu kutoka kwa Tanasha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents