Aisee DSTV!
SwahiliFix

Zungu la unga atoroka gerezani Uruguay kisha awaibia wanaoishi jirani na gereza

Nguli wa biashara ya dawa za kulevya nchini Italia, Rocco Morabito (52) ametoroka gerezani nchini Uruguay na wenzake 3 kupitia tundu kwenye paa, na kisha wakawaibia wanaoishi jirani na gereza.

Rocco ambaye ni member wa kundi la Calabrian Mafia, alikuwa anatafutwa nchini Itali toka mwaka 1994.

Mwaka 2017 alikamatwa nchini Uruguay baada ya kukimbia kimbia kwa kipindi cha miaka 20 kutokana na matukio ya kufanya biashara ya dawa za kulevya.

Kwa mujibu wa vya habari vya nchini humo vimedai kwamba, zungu la unga huyo pamoja na wenzake watatu waliweza kuvunja dari ya gereza la na kuweza kutoroka.

“Among the fugitives is the Italian Rocco Morabito, who was waiting for his extradition by the Italian justice being investigated for international drug trafficking,” Taarifa wanausalama ilieleza hivyo.

When he was arrested, Morabito had 13 cell phones, an automatic pistol, 12 credit and debit cards, a large quantity of Uruguayan money and $50,000 in US cash, plus currency certificates worth US $100,000, the Uruguayan Interior Ministry said.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW