HabariMichezo

142 Wanufaika Ajira za Meridianbet

ZAIDI ya watanzania 142 wamenufaika na ajira kupitiaMeridianbet Tanzania, ikiwa ni moja ya ndoto ya kampuni hiyoinayotoa huduma za michezo ya kubashiri mtandaoni.

 

Akizungumza katika uzinduzi wa duka la Meridianbet lililopoMtaa wa Tandika Majaribio, Temeke, Dar es Salaam, Mkuu waKitengo cha Masoko na Mawasiliano Meridianbet Tanzania, Matina Nkurlu, alisema kuwa kama kampuni, wana malengomadhubuti ya kimkakati ya kutengeneza ajira za moja kwa mojakwa watanzania wengi wenye uhitaji mkubwa kwa sasa na kwabaadaye.

 

“Hatimaye leo tumezindua duka la Meridianbet hapa Mtaa waTandika Majaribio, Wilaya ya Temeke, baada ya uzinduzi waduka hili, tunatumaini litatoa ajira zaidi kwa ndugu zetu ambaowatafanya kazi hapa na maduka yetu mengine zaidi ya 18 yaliyopo maeneo tofauti hapa Tanzania.

 

“Mpaka sasa Kampuni ya Meridianbet inayotoa huduma za michezo ya kubashiri mtandaoni, imesaidia kutoa ajira kwa zaidiya watanzania 142 ambao wanafanya kazi kwenye maduka yetuyaliyosambaa nchi nzima, ikiwemo hili la Max 25 hapa TandikaMajaribio,” alisema Nkurlu.

 

Alisema kuwa lengo kubwa la Meridianbet ni kuhakikishawanatoa huduma bora na za uhakika kwa wateja wao, bila kujalijinsia, kabila, rangi wala rika ilimradi tu mteja awe ametimizamiaka 18 na kuendelea ambapo anaruhusiwa kujiunga nakampuni yao ambayo alisisitiza ni mabingwa nambari moja wamichezo ya kubashiri kwa sasa Tanzania.

 

Aliwashukuru wateja wao kwa kuwawezesha kufika hatuawalipo sasa tangu wameanza kutoa huduma za kubashirimichezo mbalimbali kama soka na kasino.

 

Alizitaja huduma zinazotolewa na kampuni yao kuwa ni Odds bomba na kubwa zaidi kwa kila mechi na ligi zote, machaguoya kila aina zaidi ya 1000 yanayopatikana kwa kutembeleatovuti yao ya www.meridianbet.co.tz

 

“Kuna huduma moja inapendwa sana ya KUTURBO mkekawako unapoona unaelekea kuchanika, hii pia ipo Meridianbet. Sio jambo dogo hili, bali ni hatua kubwa tunayopiga pamoja nawateja wetu,” alisisitiza Nkurlu.

 

Akizungumza kwa niaba ya wenzake, mmoja wa wateja wao, Theresa Michael, alisema kuwa duka hilo litampunguziagharama za kwenda umbali mrefu kubashiri.

 

“Duka hili litapunguza usumbufu wa kutembea umbali mrefukufuata huduma ya kubet. Hiyo nauli niliyokuwa natumia, sasanitaongezea na kuweka dau kubwa zaidi ili nishinde pesanyingi,” alisema.

 

Mteja mwingine, Hassan Juma, alisema: “Napenda hudumanyingi za Meridianbet, ikiwemo ile ya kuturbo kwani inanifanyaniokoe dau langu endapo kuna timu inaelekea kuchana mkekawangu, lakini pia machaguo mengi yananipa uhuru wa kuchaguakipi niweke na kipi niache.”

 

Nkurlu aliongeza: “Tangu mwaka 2019 tulianza kuzinduamaduka taratibu ambayo yanamilikiwa na Meridianbet, tukianzana maduka ya Kariakoo, Manzese, Gongolamboto na maeneomengine ya Jiji la Dar es Salaam, na mpaka leo Januari 26, 2023 ambapo ni miaka minne inatimia kwa kuzindua duka hililinalofanya kufikia idadi ya maduka ya Meridianbet kutimia 19.

 

“Lakini pia hilo pekee halitoshi, Kampuni hii inayojitahidi sanakila siku kufungua fursa kwa kila mtu mwenye lengo la kufanyabiashara na sisi, anapata nafasi hiyo, Meridianbet tumeamuakutoa uwakala wa maduka yetu jumla 39 yanayomilikiwa namawakala wetu ambao nao kwa kushirikiana nasi wamekuwawakitoa huduma nzuri kwa wateja wetu waliosambaa nchinzima, na hii inatoa ishara ya namna ambavyo Meridianbet imepiga hatua kubwa kwa ukuaji na kudhihirisha ukongwewetu.”

 

Aidha, alisisitiza kuwa lengo kuu la Meridianbet ni kuendeleakuzindua maduka mbalimbali na kutanua wigo mkubwa wamasoko kwa kuwafikia wateja wao kwa urahisi na kutengenezawepesi wa kutoa huduma bora kwa kila mtu.

 

“Mbali na maduka haya 19 na maduka 39 ya mawakala, jumlayanakuwa maduka 58. Pia Meridianbet tuna kasino yamtandaoni inayokupa nafasi ya kushinda mkwanja mrefu zaidi. Michezo kama Aviator, Titan Dice, Roullette na mashine za sloti ni moja ya huduma zinazopatikana,” alisema.

 

Nkurlu alisema kuwa pia wamekuwa wakijihusisha na masualaya kurejesha kwa jamii kidogo wanachokipata kwa kutoamisaada mbalimbali kama walivyofanya kwa wanawakewasiojiweza Kibaha, Chama cha Watu Wenye Ualbino (TAS), Hospital ya Tumbi, kufanya usafi ufukweni maeneo yaKigamboni kwa kushirikiana na aliyekuwa Mkuu wa Wilayahiyo, Fatma Almas Nyangasa.

 

Aliishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, wateja wao pamoja nawadau wengine wanaofanya nao kazi kwa ushirikiano mkubwa, wakiwaamini na kuwa nao mpaka leo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents