Mahojiano
Dogo Janja: Khadija Kopa hajawahi kubadili aina ya uimbaji kwangu alikubali ni baraka sana (+ Video)
Akiongea na @el_mando_tz wakati anaitambulisha album yake @dogojanjatz ameeleza kuwa Mkongwe wa Taarabu nchini @officialkhadijakopa aliikataa beat husika akaitaka beat ya Regge.
@dogojanjatz amesimulia Album yake ambayo amewashirikisha wasanii wa kike kutoka Tanzania pia ameeleza namna anavyoupeda wimbo wao wa Nuru ambao amemshirikisha Nandy.