Burudani

Nay wa Mitego kuja na Chini baada ya Hapa Kati

Rapper @naytrueboytz ambaye haishiwi vituko kutoka kwenye ngoma zake , wiki hii ameanza kuonyesha nia yakuachia project mpya Chini huku mashabiki wakiifananisha na ngoma yake ya Hapa Kati Patamu ambayo ilizua gumzo.

Mapema wiki hii rapper huyo aliiachia bonus track huku akiandika ujumbe kwa mashabiki wake.

“Mimi Huwa Naimba Vitu Ambavyo Vipo Kwenye Jamii Yetu Ndio Maana Nyimbo Zangu Huwa Zina Hit Sana Uko Kwa Wapenda BongoFlava (Kitaani) Tena Haraka Sanaaa. Huu Wimbo Tumezungumzia Asilimia 80 Ya Maisha Ya Wasanii Wa Bongo Na Jamii Yetu Wasanii Tunavyo Iaminisha Kama Sio Kuwadanganya (Kufake) May Be Ili Kuongeza Thamani But Ukweli Nimeusema Umu Cjamtaja Mtuuuu😂 Mtakae Mhisi Yoyote Mi Simoooo #HatunaKitu @shebbylove1tz Link Bio☝🏻
BonusTrack”

Written by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents