Burudani
Baby Sherry anasema Mahusiano yake na Alikiba yalikuwa ya Mkataba miaka 5 (Video)
Mwanamitindo na mwanamitandao ya Jamii Beby Sherry anaemia kuwa mahusiano yake na Alikiba yalikuwa ya Kimkataba.
Anaongeza kuwa Mkataba wake na Alikiba ulikuwa miaka mitano tu na ulikuwa na Siri hakumruhusu kuweka vitu Public.
Ukumbuke taarifa za Baby Sherry ilifaiwa wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi na Alikiba ingawa yeye amepinga amesema mkataba huo ulikuwa wa siri.
Video nzima ipo katika akaunti yetu ya Youtube ya Bongo5.
Imeandikwa na Mbanga B.