Habari

Washindi promosheni ya Twenzetu Dubai na Parimatch wapatikana, kupaa Jumatatu kwenda Dubai

Mkurugenzi Mwendeshaji wa kampuni ya Parimatch, Eric Gelard (kushoto) akikabidhi ticket kwa mmoja wa washindi wa promosheni ya Twenzetu Dubai, Daniel Kasanga.

Dar es Salaam. Washindi wawili wa promosheni ya Twenzetu Dubai na Parimatch inayoendeshwa na kampuni ya michezo ya kubashiri ya Parimatch wamepatikana na watasafiri Dubai Jumatatu ijayo.

Mkurugenzi Mwendeshaji wa kampuni ya Parimatch, Eric Gelard (kushoto)akiwa katika picha ya pamoja na mmoja wa washindi wa promosheni ya Twenzetu Dubai, Daniel Kasanga (katikati). Kulia ni Mkuu wa Masoko wa kampuni ya Parimatch, Levis Paul.

 

Washindi hao ni Daniel Kasanga, mkazi wa Ruvuma na Mohamed Salim mkazi wa Kinondoni, Dar es Salaam kwa mujibu wa Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Parimatch, Ismail Mohamed.

Ismail alisema kuwa Kasanga ni mshindi wa droo ya wiki ya kwanza na Salim ameshinda droo ya wiki ya pili kupitia mchezo Aviator ndani ya Casino.

Balozi wa kampuni ya michezo ya kubashiri ya Parimatch, Masatu Amos Ndalo (kulia) akizungumza na mshindi wa kwanza wa promosheni ya Twenzetu Dubai mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Alisema kuwa safari hiyo itagharimiwa na kampuni yao ikiwa pamoja na usafiri, visa, malazi kwenye hoteli ya kifahari na gharama za kutembelea maeneo mbalimbali ya kitalii na kihistoria wakiwa Dubai.

“Kasanga na Salim wameshinda tiketi ya Dubai kupitia mchezo wa Aviator ambao unapatikana kwenye Casino ya Parimatch. Bado kuna nafasi za kushinda safari ya kwenda Dubai pamoja na fedha taslim Sh200,000 kila siku ambazo zinatolewa katika droo ya siku husika. Tunawaomba wadau wetu kuendelea kubashiri na Parimatch ili kuweza kushinda zawadi hizo,” alisema Mohamed.

Balozi wa kampuni ya michezo ya kubashiri ya Parimatch, Masatu Amos Ndalo (kushoto) akizungumza na mshindi wa kwanza wa promosheni ya Twenzetu Dubai mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Kwa upande wake, Kasanga alisema kuwa amefarijika sana kushinda safari hiyo ya kihistoria kwake.kubashiri ya Parimatch, Masatu Amos Ndalo (kulia) akizungumza na mshindi wa kwanza wa promosheni ya Twenzetu Dubai mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents