BurudaniFahamuMapenziUmbea

Mke ampelekea Mume keki ya “Birthday” yenye Screenshot za mchepuko

Huko nchini Nigeria Mwanamke mmoja amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kumtengenezea mume wake keki ya Birthday yenye Screenshot ya Chat ambazo alikuwa akichat na mchepuko wake.

Mume wa mwanamke huyo alikuwa akimwambia mchepuko kuwa anataka kumuacha mke wake ili awe na yeye na hampendi tena, na chat hizo ndizo ambazo mke wake ameziweka kwenye Screenshot ambayo ameitengenezea kwenye keki ya Birthday ya Mume wake.

Wewe unaweza kufanya kitu kama hiki??

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents