Burudani
Tunda Man afunga ndoa rasmi (Picha)
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2016/10/Tunda-Man.jpg)
Mkali wa wimbo ‘Mama Kijacho’ kutoka Tip Top Connection, Tunda Man amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae Sabrah.
Tunda Man akipongezwa na mtu wake wa karibu
Ndoa hiyo ambayo imefanyika Ijumaa hii huko mkoani Morogoro nyumbani kwa Bi Sabrah, ilihudhuriwa na mastaa wa muziki kutoka Tip Top Connection. Angalia picha.
Madee akiwa na shemeji yake
Madee (kutoka kulia), Tunda Man na mke wake (katikati’ Kassim Mganga pamoja na Dogo Janja
Picha: Mtandaoni