Michezo

Ratiba ya mechi za ligi kubwa 5 za Ulaya wikiendi hii

Baada ya kusimama kwa mechi za ligi mbalimbali duniani kwa ajili ya kupisha michezo ya timu za taifa za kuwania kufuzu kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi, wikiendi hii ligi za Ulaya zinaendelea tena kwa michezo mbalimbali.

top_european_football_leagues-1

Hii ni ratiba ya mechi za ligi tano kubwa za barani Ulaya.

Uingereza

Chelsea vs Leicester City
AFC Bournamouth vs Hull City
Arsenal vs Swansea City
Manchester City vs Everton
Stoke City vs Sunderland
West Bromwich Albion vs Tottenham Hotspurs
Crystal Palace vs West Ham United
Middlesbrough vs Watford
Southampton vs Burnley
Liverpool vs Manchester United

Hispania

Leganes vs Sevilla
Barcelona vs Deportivo La Coruna
Atletico Madrid vs Granada
Real Betis vs Real Madrid
Deportivo Alavés vs Malaga
Athletic Club vs Real Sociedad
Sportin Gijon vs Valencia
Villarreal vs Celta de Vigo

Italia

SSC Napoli vs Roma
Pescara vs Sampdoria
Juventus vs Udinese
Forentina vs Atalanta
Genoa vs Empoli
Internazionale vs Cagliari
Lazio vs Bologna
Sassuolo vs Crotone
Chievo vs AC Milan

Ujerumani

Augsburg vs Schalke 04
Borussia Monchengladbach vs Humburger SV
Eintracht Frankfurt vs Bayern Munich
FC Cologne vs Ingolstadt
Hoffenheim vs Freiburg
Weder Bremen vs Bayer Leverkusen
Mainz 05 vs Darmstadt 98
Wolfsburg vs RBV Leipzig

Ufaransa

Nancy vs Paris Saint German
Guingamp vs Lille
Lorient vs Nantes
Montpellier vs Caen
SC Bastia vs Angers
Rennes vs Bordeaux
Saint-Etienne vs Dijon
Olympique Marseille vs Metz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents