BurudaniVideos

Video: Nisher aja na series fupi ya ‘Alex’ tazama sehemu ya 1 na 2 hapa

Baada ya kukaa kimya kwa miezi kadhaa, muongozaji wa video wa Arusha, Nisher amerejea tena kazini na awamu hii akiwa na camera mpya aliyoinunua kwa $15,000. Ili kuhakikisha kuwa anatoa video zenye kiwango zaidi, amekuwa akiijaribu kamera hiyo kwa kufanya series fupi aliyoipa jina Alex. Hizi ni sehemu za series hiyo.

https://www.youtube.com/watch?v=a90TX6egR7o

https://www.youtube.com/watch?v=EkLvSaZjYd0

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents