Tanzia: Baba yake mzazi na Belle 9 afariki dunia kwa kugongwa na boda boda
Tragedy

Tanzia: Baba yake mzazi na Belle 9 afariki dunia kwa kugongwa na boda boda

Abedinego Damian aka Belle 9 amepata msiba mzito. Baba yake mzazi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Meneja wake, Jahz…
Video: Mkenya Sarah Ikumu (15) afunika mbaya kwenye shindano la Britain’s Got Talent, apewa ‘golden buzzer’
Burudani

Video: Mkenya Sarah Ikumu (15) afunika mbaya kwenye shindano la Britain’s Got Talent, apewa ‘golden buzzer’

Muimbaji mwenye miaka 15, mtoto wa wazazi wa Kenya, Sarah Ikumu anaogelea kwenye dimbwi la ustaa baada ya Jumamosi iliyopita…
Video: Msako waendelea kwa muuaji wa pasaka aliyempiga risasi mzee mpita njia na kuweka video ya tukio Facebook
Habari

Video: Msako waendelea kwa muuaji wa pasaka aliyempiga risasi mzee mpita njia na kuweka video ya tukio Facebook

Msako mkali unaendelea kumnasa Steve Stephens, 37 wa Cleveland, Ohia nchini Marekani, aliyehusika kwenye tukio la mauaji ya mzee wa…
The Fate of the Furious yavunja rekodi ya box office duniani, yaingiza $532m
Burudani

The Fate of the Furious yavunja rekodi ya box office duniani, yaingiza $532m

Filamu ya kampuni ya Universal Pictures‘ The Fate of the Furious imevunja rekodi kwakuwa na ufunguzi mkubwa zaidi wa muda…
Vanessa Mdee ashirikishwa na producer wa nyimbo 2 kwenye album ya Beyonce (Lemonade) Diplo (Major Lazer)
Burudani

Vanessa Mdee ashirikishwa na producer wa nyimbo 2 kwenye album ya Beyonce (Lemonade) Diplo (Major Lazer)

Vanessa Mdee anaendelea kwenda Juu. Fresh kutoka kutumbuiza kwenye tamasha la muziki la Gidi jijini Lagos, Nigeria wikiendi ya Pasaka,…
Mavoko: Nimeamua kuja na mtindo wa kuimba utakaokuwa wangu peke yangu
Burudani

Mavoko: Nimeamua kuja na mtindo wa kuimba utakaokuwa wangu peke yangu

Rich Mavoko amesema anaendelea kutengeneza mtindo wa kuimba utakaomfanya asifanane na msanii yeyote. Ameiambia Bongo5 kuwa mtindo huo aliuanzisha kama…
Billnass alipanga kumshirikisha Maua Sama kwenye Mazoea, aeleza jinsi Mwana FA alivyoingia
Burudani

Billnass alipanga kumshirikisha Maua Sama kwenye Mazoea, aeleza jinsi Mwana FA alivyoingia

Maua Sama ndiye alikuwa amepangwa kushirikishwa kwenye wimbo Mazoea, kwa mujibu wa Billnass. Akizungumza kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz,…
Jocktan Makeke: Mbunifu wa Tanzania anayetumia ngozi, mifupa, miti, makopo na vingine kutengeneza nguo
Mitindo

Jocktan Makeke: Mbunifu wa Tanzania anayetumia ngozi, mifupa, miti, makopo na vingine kutengeneza nguo

Kabla wakoloni hawajaja Afrika na kututawala, mababu zetu walikuwa wakiishi kwa kutegemea mazingira yanayowazunguka. Mavazi waliyovaa, yalitokana na miti na…
Prince Harry afunguka jinsi kifo cha mama yake Princess Diana kilivyomtesa kwa miaka 20
Habari

Prince Harry afunguka jinsi kifo cha mama yake Princess Diana kilivyomtesa kwa miaka 20

Prince Harry wa Uingereza, ameeleza kuwa alitafuta ushauri nasaha miaka minne iliyopita kukabiliana na huzuni ya kumpoteza mama yake, Princess…
Shambulio la bomu kwenye mabasi laua watu 126 Syria
Habari

Shambulio la bomu kwenye mabasi laua watu 126 Syria

Watu 126 wamepoteza maisha kufuatia shambulio la bomu kwenye mabasi yaliyokuwa yamebeba raia wanaokimbia machafuko katika miji ya Syria. Msafara…
Kim Kardashian na Kanye West waonesha picha hii ya familia kusherehekea Pasaka
Burudani

Kim Kardashian na Kanye West waonesha picha hii ya familia kusherehekea Pasaka

Tangu alazwe na hospitali na kutoka mwishoni mwa mwaka jana, Kanye West amekuwa mkimya na kipaumbele pekee katika maisha yake…
Rayvanny na mpenzi wake Fahyma wapata mtoto
Burudani

Rayvanny na mpenzi wake Fahyma wapata mtoto

Habari njema kutoka kwa hitmaker wa Kwetu, Raymond. Staa huyo na mpenzi wake, Fahyma wamebahatika kupata mtoto. Taarifa za kupata…
Serikali yaipongeza Vodacom kwenda sambamba na kasi ya kuhamia Dodoma
Habari

Serikali yaipongeza Vodacom kwenda sambamba na kasi ya kuhamia Dodoma

Naibu Waziri wa Kazi Vijana na Ajira,Mh.Antony Mavunde, ameipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania Plc kwa kuzidi kuimarisha huduma…
New Video: Harmonize X Rich Mavoko – Show Me
Burudani

New Video: Harmonize X Rich Mavoko – Show Me

Vijana wa WCB, Harmonizen na Rich Mavoko wameachia video ya wimbo wao wa pamoja, Show Me. Itazame hapo chini.
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents