Msanii wa muziki Kelvin Bosco ameachia wimbo wake mpya 'Thamani Yako' baada ya kufanya vizuri na wimbo 'Happy' ambao aliuachia mwaka 2016.