Burudani
New Music: Ludacris f/ Ty Dolla $ign – Vitamin D
Hatimaye Ludacris ameuvunja ukimya wake wa miaka miwili. Rapper na muigizaji huyo ameachia wimbo alioupa jina Vitamin D akimshirikisha Ty Dolla $ign. Kwenye wimbo huo amesample ngoma ya mwaka Sisqo ya mwaka 2000, Thong Song.
https://www.youtube.com/watch?v=x-cCp9FLayI