Burudani
Video: Seline alivyopata kigugumizi kuhusu The Industry
Hitmaker wa Jitume, Seline amefunguka kuhusu wanaosimamia kazi zake kwa sasa, lakini pia amejikuta mdomo ukiwa mzito kuongelea kuhusu ugomvi wake na mabosi zake wa zamani alivyokuwa The Industry [Aikah na Nahreel]. Lakini pia kuhusu tetesi za kutaka kumteka Nahreel kwenye mahusiano ya kimapenzi.