Burudani
Picha: Hali ya ukumbi wa Serena kabla ya Lady Jaydee na Alicios Theluji kufanya show yao
Usiku wa Jumamosi hii malkia wa muziki wa Bongo Flava, Lady Jaydee anatarajiwa kufanya show yake katika ukumbi wa Serena Hotel, ambayo itakuwa ni maalum kwa ajili ya siku hiyo ya wapendanao.
Jaydee atatumbuiza katika jukwaa moja na msanii mwenzake kutoka lebo ya Taurus Musik, Alicios Theluji ambaye anaishi nchini Sweden.