Burudani
Video: Kitumbo cha Dayna Nyang’e utata mtupu
Msanii wa muziki Dayna Nyang’e ameamua kusheherekea siku ya wapendanao kwa kuachia picha inayoonyesha tumbo kake mithiri ya mtu mwenye ujauzito.
Dayna ameweka picha hiyo katika mtandao wa kijamii wa Instagram na kuandika “HAPPY VALENTINE’S BABY🌹,”