Habari
Kutana na Manstermadness aliyemsuka Lavalava ndani ya Spice Music (Video)
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2018/03/Screen-Shot-2018-03-07-at-17.33.54.png)
Alhamisi hii Bongo5 imekutana na producer Manstermadness kutoka Spice Music ambaye amefanya kazi na muimbaji wa WCB, Lavalava kwa mura mrefu. Mtayarishaji huyo akiwa katika studio hiyo mpya, amefanikiwa kuandaa wimbo ‘Mputa’ wa Dashie kutoka Spice Music akiwa amemshirikisha muimbaji Ruby.