Burudani
Picha: John Legend na Chrissy Teigen wamuonyesha hadharani mtoto wao wa pili
John Legend na mke wake Chrissy Teigen wameonyesha sura ya mtoto wao kwa mara ya kwanza.
Mtoto huyo wa kiume ambaye alizaliwa wiki iliyopita amepewa jina la Miles Theodore Stephens.
Miles ameungana na dada yake una Simone Stephens aliyezaliwa April 2016.