Habari
DC Jokate apokea vifaa vya usafi na vitanda vya wagonjwa ‘Nimesikia hospitali yetu ya wilaya sio safi’ (+video)
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amepokea vifaa vya usafi pamoja na vitanda vya hospital hiyo vyenye thamani ya tsh milioni 5.5 kutoka taasisi ya Builders Center ikiwa na lengo la kusapoti jitihada zake za kuwasaidia Wananchi wa Kisarawe. Nimesikia wagonjwa wanalalamika hospitali ni chafu”