Habari
Rais Magufuli amchana RC Makonda kuhusu sakata la makontena ‘unataka utumie Walimu’ (+video)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameamua kufunguka kuhusu sakata la Makontena 20 ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ambapo amesema watumishi wa umma ni lazima wawe na uchungu ikiwemo kulipa kodi na sio kutumia mamlaka yao kujinufaisha.
Rais Magufuli amezungumza hayo leo Agosti 30, 2018 mbele ya Madiwani pamoja na Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita.
Nashukuru sana kwa uhadilifu wako mh.raisi,mpeni shule uyo
Anataka apitie kwenye mrija wa walim
Seyv hampendi teeena
Duuuh hatari ila mh Rais alichokiongea yuko sahihi
twapenda kazi yko raisi
Mpe kajifanya mjanja saiv kaonekana hamna kitu cha muhimu ndugu zangu ni upendo na hilo ni funzo
Maigizo hayo they know what they do.
Kila lenye mwanzo halikoc mwisho na ngoma ikilia sn mwshowe kutoboka naona safar ya makonda imefika ukingoni
Rais alifiwa na dadake amepitia mtihani mkubwa na kifo ni mawaidha tosha anatenda uadilifu hataki dhambi
Amna ishu hapo langu jicho tu