Habari

Rais Magufuli amchana RC Makonda kuhusu sakata la makontena ‘unataka utumie Walimu’ (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameamua kufunguka kuhusu sakata la Makontena 20 ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ambapo amesema watumishi wa umma ni lazima wawe na uchungu ikiwemo kulipa kodi na sio kutumia mamlaka yao kujinufaisha.

Rais Magufuli amezungumza hayo leo Agosti 30, 2018 mbele ya Madiwani pamoja na Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita.

Related Articles

10 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents