Muziki
Video: Snazzy Raffish X Kelvin Diploma – Rose
Msanii wa muziki Snazzy Raffish ameachia wimbo wake mpya uitwao Rose akiwa ameshirikiana na Kelvin Diploma. Wimbo huo unazungumzia masuala ya mapenzi na maisha, enjoy muziki mzuri kwa kuangalia video hapa chini.