Burudani
Dunia kijiji, show ya Davido kufanyika Nigeria kuonekana Tanzania (+ Video)
Kupitia kampuni ya Global chini ya DMK wameitangaza show hii ya Davido ambayo itafanyika nchini Nigeria lakini utaweza kuiona kupitia mtandao tena kwa kulipa kiingilio. Show hiyo inaitwa DAVIDO GLOBAL UNITY CONCERT LIVE Msikilize DMK akuelekeze vizuri utaratibu wa kufuata ili uweze kuifuatilia show hiyo.