Michezo
Nampongeza Antonio Nugazi, ikitokea riziki huku imekwisha unahamia sehemu nyingine – Julio (+Video)
Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania U20 Ngorongoro Heroes, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema kuwa anampongeza sana Antonio Nugaz kwa kile alichokianzisha maana sio kitu kidogo.