Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzHabari
Baba levo: Harmonize Viwers wake Diamond nyimbo 1 Zuwena
Leo @el_mando_tz amepiga stori na @officialbabalevo na kueleza sababu ya @diamondplatnumz kuongea mambo mengi baada ya ukimya wake. @officialbabalevo ametaja collabo za @diamondplatnumz zijazo na kueleza kuwa wasanii wenzake lazima wajipange Kisaikolojia maana @diamondplatnumz ameamua kweli.
@officialbabalevo akipiga stori mbili tatu na @el_mando_tz amewajibu watu wanaosema kuwa @diamondplatnumz ameshuka kimuziki.
@officialbabalevo ameeleza fact zake na je wewe unakubaliana na @officialbabalevo ??